Urefu (height) kutoka kwenye sakafu hadi kwenye ceiling

Urefu (height) kutoka kwenye sakafu hadi kwenye ceiling

Wengine wanasema Mita tatu. Jamani, Mita tatu si unashika kabisa ceiling ukinyoosha mkono
 
Rejea kichwa cha habari,

Kwa kawaida nyumba inatakiwa kuwa na urefu kiasi gani kutoka kwenye floor hadi kwenye ceiling. Nimeinhia nyumba moja hapa ni ndefu sana kiasi kwamba ukiongea sauti inakuwa na mwangwi (echo).

ASANTE
3100mm
 
atleast 2.8m and not above3.5m. Binafsi napendelea 3m to 3.2m
 
Nyumba nyingi za bongo,headroom huwa 2.8 Mita.
Ila kuna nyumba kutegemeana na style ya Design kama Contemporary, headroom hufika hadi 3.5 mita
Style Mediterranean, headroom hufika hadi 4.5mita kwa baadhi ya vyumba
 
Back
Top Bottom