Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3100mmRejea kichwa cha habari,
Kwa kawaida nyumba inatakiwa kuwa na urefu kiasi gani kutoka kwenye floor hadi kwenye ceiling. Nimeinhia nyumba moja hapa ni ndefu sana kiasi kwamba ukiongea sauti inakuwa na mwangwi (echo).
ASANTE
atleast 2.8m and not above3.5m. Binafsi napendelea 3m to 3.2mRejea kichwa cha habari,
Kwa kawaida nyumba inatakiwa kuwa na urefu kiasi gani kutoka kwenye floor hadi kwenye ceiling. Nimeinhia nyumba moja hapa ni ndefu sana kiasi kwamba ukiongea sauti inakuwa na mwangwi (echo).
ASANTE
atleast 2.8m and not above3.5m. Binafsi napendelea 3m to 3.2m
Mpe fundi seremala anajua namna ya kurekebisha kitanda kwa kukuwekea hen'ga katika mifumbati yate miwili huta angaika tena.
kama huelewi kitu si unyamazeOk hiyo kazi inategemea na dari uimara wake maana ni nzito ni sawa na fan za pangaboi.