Urekebishaji wa majina Mahakamani

Urekebishaji wa majina Mahakamani

Micky roy

Member
Joined
Jun 9, 2020
Posts
5
Reaction score
4
Hivi kama jina la cheti cha kuzaliwa na cheti cha Form Four yana utofauti katika jina la mwisho kunauwezekano wa kurekebisha jina la mwisho katika cheti cha Form Four ili lifanane na lile la cheti cha kuzaliwa?

Inakuaje msaada wenu wanaofahamu
 
Muone wakili, akutengenezee Deed Poll, isajiliwe na baadaya hapo hautakuwa na tatizo la majina tena.

Sio lazima Mahakamani.
 
Oky nimekupa clear kaka..nakweny kuapply mkopo wa chuo utaambatanisha na hiyo deed pool?
Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana.

Deed Poll, itaonesha kuwa majina yote (ambayo yamepishana kwenye nyaraka zako) ni ya mtu mmoja, ambaye ni wewe. Haiongezi jina jipya.
 
Back
Top Bottom