Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muone wakili, akutengenezee Deed Poll, isajiliwe na baadaya hapo hautakuwa na tatizo la majina tena.
Sio lazima Mahakamani.
Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana.Kwahiy kweny hiy deed pool nitaandk jina nalotaka mm
Umesema cheti cha kizaliwa na cheti cha form 4 majina yamepishana.
Deed Poll, itaonesha kuwa majina yote (ambayo yamepishana kwenye nyaraka zako) ni ya mtu mmoja, ambaye ni wewe. Haiongezi jina jipya.
Yes, popote utakapoambatanisha nyaraka zako pamoja na vyeti vilivyopisha majina, utaambatanisha nakala ya hiyo Deed Poll.Oky nimekupa clear kaka..nakweny kuapply mkopo wa chuo utaambatanisha na hiyo deed pool?
Yes, popote utakapoambatanisha nyaraka zako pamoja na vyeti vilivyopisha majina, utaambatanisha nakala ya hiyo Deed Poll.