Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaeee,kila unayoshika unaona kama ndo umeivaa jana tu.Hamjui ni shida gani tunapata.......mnadhani kuona nguo ni rahisi eeeh.........asubuhi tunachelewa kazini kwa sababu nguo huwa hazionekani.........
Hapa najua hamtaelewa ila wanawake tutaelewana...........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni tabu sana, kuna kipindi nilichoka kutafuta nguo za kuvaa, Jumamosi moja nilizibeba nikazituma kijijini kwetu, zingine nikapeleka kanisani, nikaanza upya kununua. Wanawake tu ndio wataelewa hili.Hamjui ni shida gani tunapata.......mnadhani kuona nguo ni rahisi eeeh.........asubuhi tunachelewa kazini kwa sababu nguo huwa hazionekani.........
Hapa najua hamtaelewa ila wanawake tutaelewana...........
Yaani huu huwa ni mtihani mzito acha tu, naweza nyoosha 4 na nisizivae zote nikatafuta nyingine[emoji134]Hamjui ni shida gani tunapata.......mnadhani kuona nguo ni rahisi eeeh.........asubuhi tunachelewa kazini kwa sababu nguo huwa hazionekani.........
Hapa najua hamtaelewa ila wanawake tutaelewana...........
Na kuna zile unanunua na huvai kabisa.Sio tu Harusi, hata siku za kawaida. Unashangaa mdada analalamika hana nguo, ukiangalia kabatini kwake zipo kibao na hakuna hata moja mbaya, sasa sijui huwa wanatakaga nini. Labda wanachoka baada ya kuzivaa kwa muda.
Ni bora wawe wana empty kabati kila baada ya muda na kuleta stock mpya ndani