Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
too much is harmful you women..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka huyu ndio shemeji?
Kuna kisa kimoja cha ukweli, mwanamke alisababisha kifo cha mpenziwe kwa sababu ya hizo kucha za kubandika ila ni zile za mikononi.
Hatari
too much is harmful you women..!!
![]()
Huyo nikimkuta nyumbani lazima nichukue Mkuki
mkuu.. ataweza kweli kwenda shamba kwa jinsi hii??
shemejio yuko machungani sasa hivi.. hahhaaa!!
uzuri shurti utishe..
Huko mjini hakuna shamba mkuu
Wanataka walingane na malaika
Hapo una kazi ya kununua net za mbu kila siku .....!! Labda uwe unamvisha soksi muda wa kulala.