Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
inawezekana mkuu!!
kutembea na silaha sio lazima uwe na pistol bana!
Ilikuwa ni kwenye harusi, sasa wakati bi harusi anamlisha chakula bwana harusi kumbe kucha ikabanduka na kujichanganya na tonge la chakula.
Bwana harusi naye akabugia pasipo hata kutafuna shehena ya tonge vizuri, jamaa akapaliwa na kujikuta kakosa hewa.
Kilichofuata ni huzuni...