Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
mkuu, assume huyo ndo umezimika sana kwake! halafu hataki badilika hata nukta!
Mkuu
Ukweli itabidi nianze kutoa elimu kwa umma kwa huyo Madame mpaka anielewe twende sawa sawia
too much is harmful you women..!!
heheheeeee!hua zinakatwa bwna
haiwezekani kutembea na kucha ka jini
wabandikaji tupo wengi zikikatwa wala hutojua ni bandia!!
siku nikikukamata umeweka huu uchafu even by mistake..!!
btw, usije ukafanya hivyo sweetheart..!!
for you Passion Lady!!
Mchana wengine usiku mwingine
Nikajua ndo unayemnyonyamkuu.. ataweza kweli kwenda shamba kwa jinsi hii??
shemejio yuko machungani sasa hivi.. hahhaaa!!
Nikajua ndo unayemnyonya
kumbe ulikuwa unatuchungulia tu tunavyokisiana eenh!!
haya bana, goodmorning!!
moorrning ila nimekununia