urembo mwiingine naona ni kama uzombie tu!!

Kama sio jini mahaba basi ni subiani! Urembo mwingine ni uzuzu, na ulimbukeni wa kujikana walivyojaaliwa na muumba wao na kutaka kuuvaa uhusika ambao si majaliwa yao!
 
Hahahahahaaaa!!! Ama kweli anatisha,lkn tusimlaumu sana labda kaambiwa na shem kuwa kapendeza loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…