urembo mwiingine naona ni kama uzombie tu!!

inawezekana mkuu!!

kutembea na silaha sio lazima uwe na pistol bana!

Ilikuwa ni kwenye harusi, sasa wakati bi harusi anamlisha chakula bwana harusi kumbe kucha ikabanduka na kujichanganya na tonge la chakula.

Bwana harusi naye akabugia pasipo hata kutafuna shehena ya tonge vizuri, jamaa akapaliwa na kujikuta kakosa hewa.

Kilichofuata ni huzuni...
 
oohh!!

iam sorry for the guy! mikucha mpaka siku ya kufunga ndoa??.. kweli kuwa zombie sio lazima unyonye damu!
 
Hahaha, kuna binti alipofuka wakati wa mapambo ya send off. Wamebandika super glue kwenye kope, ikapofua macho.
 
oohh!!

iam sorry for the guy! mikucha mpaka siku ya kufunga ndoa??.. kweli kuwa zombie sio lazima unyonye damu!

Ushindani wa soko ni mgumu.kujitangaza muhimu kwan kuna mpa mtu confidence.
Ila kuzaliwa mwanuame ni faida jaman tuache ushabiki.
 
Ushindani wa soko ni mgumu.kujitangaza muhimu kwan kuna mpa mtu confidence.
Ila kuzaliwa mwanuame ni faida jaman tuache ushabiki.

mkuu hebu tupe lecture zaidi hapo kwa bold!
 
si kaingia kwa ofisi mpaka anataka kutoboa vioo bana!

yani wa hivi hata kumkumbatia ni risk sana..! anaweza sepa na ngozi ya vidole!!

jamani ndo kilichonifanya nimrukie mie huyo hizo kucha nazipenda mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…