shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 197
- 79
Dell - Cious version 2022Habari ndugu nina miaka 35 lkn muonekano wangu naonekana kama mzee wa miaka 80 inasababishwa na nini? Au inaweza kua ugonjwa au VIP na nifanye nn niweze kuendana na umri wangu wakubwa zangu wote wanaonekana wadogo kwangu naombeni msaada pls.....
Si kweli,Tuma picha tuone shida ni nini
Lakini, ujanja ni pamoja na kuacha pombe, kuacha ngono za kupita kiasi, tumia asali original yenye masega yake ktk maisha yako ya chakula, kula vzr chakula na matunda, oga maji na kupakaa mafuta yanayo endana na ngozi yako
NB: Tunahitaji picha yako
Ni meWe ni ke au me tuanzie hpo!
uturuki akafanyejeNi vema kwenda Uturuki.
Akaumbwe upya maabara.uturuki akafanyeje
Acheni kejeli jmn nimeomba muongozoAkaumbwe upya maabara.
Una picha ya zamani ya Diamond Platinum ?Si kweli,
Sura,uliyozaliwa nayo haisababishwi na kitu chochote,kikubwa jikubali kuwa upo hivyo mkuu
Kuna watu wanatumia sigara, pombe na hawafanyi mazoezi na wapo vile vile
Pombe haikufanyi uonekane mzee bali utaonekana una sura ya ulevi
Kama me hamna Shida..Sasa mbona umesema urembo Sasa?Ni me
πππ pole sana bro, lakini punguza kuwa serious muda wote, fanya mazoezi, kula vizuri, punguza stress, kuwa na furaha muda wote na penda kuvaa vizuri.Habari ndugu nina miaka 35 lkn muonekano wangu naonekana kama mzee wa miaka 80 inasababishwa na nini? Au inaweza kua ugonjwa au VIP na nifanye nn niweze kuendana na umri wangu wakubwa zangu wote wanaonekana wadogo kwangu naombeni msaada pls.....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], et kulamba wazee[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana bro, lakini punguza kuwa serious muda wote, fanya mazoezi, kula vizuri, punguza stress, kuwa na furaha muda wote na penda kuvaa vizuri.
Sisi wengine mionekano yetu inafiti wasichana kuanzia miaka 15 adi wamama wa mika 30+ badilika kutegemeana na mtu uliyenaye pia acha kulamba wazee.[emoji23][emoji23][emoji23]
Au ya joti na mpokiUna picha ya zamani ya Diamond Platinum ?