Urembo na muonekano wa sura

Urembo na muonekano wa sura

shabaan Dogo

Senior Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
197
Reaction score
79
Habari ndugu nina miaka 35 lkn muonekano wangu naonekana kama mzee wa miaka 80 inasababishwa na nini? Au inaweza kua ugonjwa au VIP na nifanye nn niweze kuendana na umri wangu wakubwa zangu wote wanaonekana wadogo kwangu naombeni msaada pls.....
 
Tuma picha tuone shida ni nini

Lakini, ujanja ni pamoja na kuacha pombe, kuacha ngono za kupita kiasi, tumia asali original yenye masega yake ktk maisha yako ya chakula, kula vzr chakula na matunda, oga maji na kupakaa mafuta yanayo endana na ngozi yako

NB: Tunahitaji picha yako
 
Dell - Cious version 2022
 
Si kweli,

Sura,uliyozaliwa nayo haisababishwi na kitu chochote,kikubwa jikubali kuwa upo hivyo mkuu

Kuna watu wanatumia sigara, pombe na hawafanyi mazoezi na wapo vile vile

Pombe haikufanyi uonekane mzee bali utaonekana una sura ya ulevi
 
Weka picha upewe muongozo... Punguza pombe kali bila kula...
 
Si kweli,

Sura,uliyozaliwa nayo haisababishwi na kitu chochote,kikubwa jikubali kuwa upo hivyo mkuu

Kuna watu wanatumia sigara, pombe na hawafanyi mazoezi na wapo vile vile

Pombe haikufanyi uonekane mzee bali utaonekana una sura ya ulevi
Una picha ya zamani ya Diamond Platinum ?
 
Habari ndugu nina miaka 35 lkn muonekano wangu naonekana kama mzee wa miaka 80 inasababishwa na nini? Au inaweza kua ugonjwa au VIP na nifanye nn niweze kuendana na umri wangu wakubwa zangu wote wanaonekana wadogo kwangu naombeni msaada pls.....
😂😂😂 pole sana bro, lakini punguza kuwa serious muda wote, fanya mazoezi, kula vizuri, punguza stress, kuwa na furaha muda wote na penda kuvaa vizuri.

Sisi wengine mionekano yetu inafiti wasichana kuanzia miaka 15 adi wamama wa miaka 30+ badilika kutegemeana na mtu uliyenaye pia acha kulamba wazee.😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana bro, lakini punguza kuwa serious muda wote, fanya mazoezi, kula vizuri, punguza stress, kuwa na furaha muda wote na penda kuvaa vizuri.

Sisi wengine mionekano yetu inafiti wasichana kuanzia miaka 15 adi wamama wa mika 30+ badilika kutegemeana na mtu uliyenaye pia acha kulamba wazee.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], et kulamba wazee
 
Back
Top Bottom