Urembo raha jamani

KichwaBOGA

Member
Joined
Jun 28, 2020
Posts
15
Reaction score
33
Nahisi urembo wangu umevuka mipaka, wanaume wanahangaika sana kunipata adi nawahurumia kuna wanaonihonga viwanja wengne magari adi wengne wameacha adi familia zao kunipata mie kichwaBOGA. Sijui wanavutika kwa fesi yangu pua ya kitusi, au pengne uno langu matata.

Au ni K yangu yenye hadhi ya 5G au labda ni haya mautundu yangu sauti mtetemo nyembamba ya huba na ufundi wangu kwa kitanda jamani nawaonea huruma wanaume wanavoteseka walah wengine mpaka wanalia...

Majuzi kati hapa nime-cause ajali pale kiprefuti Temeke hospitali nashuka kuegesha gari yangu si akapita mbaba mmoja macho kodoo kwa msambwanda wangu si akagongwa sijui kafa au hata sijui.

Washajiua wakaka watatu kwa kuwakataa.
 
kweli 50/50 imeanza kufunction, kama mwanamke anapata ujasiri wa kuandika utopolo huu basi soon mtaanza kututongoza live
 
Kwa hiyo wote washajaribu K ndo wanahangaika?
 
Wewe utakuwa mrembo tu.. Ila sio mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…