reactionmechanism
Member
- May 8, 2017
- 61
- 45
Kilo 25 kg [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kunyoa nyusi na kuchora zangu! Na zaida sana ni kuvaaa wigi la kilo 25KG kichwani kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh...Douta yani uwa nafikiria hiki kipara ningekulisisha sijui ingekuwaje..Haha daddy Ushaanza mambo yako
Msamehe bure baby.Matakko yako
Na bangi navuta....😀Daaah ngoja nije PM fasta nisiharibu uzi
Hata kama unakula samaki alimradi una rasta za asili zile za kihabeshi nakupa godown langu tegeta gari na nyumba ya urithi na moyo wangu kwenye kisosi kabisa hahaaa
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Vipi Kuchora tatoon , Kwenye matiti, Shingoni,kwenye makalio na kwenye Mikono.. Utafiti wangu Mdogo Mwanamke anayependa dread hajawahi kuwa salama na uchoraji wa Tatoooo
Shida zako baki nazo, ila kwa raha nitafuteMkuu nitafute ninashida nawe nahisi ndio wakunifaaa kwa shida na raha .
Njoo mrembo Evelyne
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] y mkuu wanyaki wamekufanya nn??basi mkuu ukienda tukuyu utaishi single maisha yako yote utakayokuwa pale..
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]hahahha ukienda mbeya wanawake weng ni wa PINK! yaan kwasabb ni weusi wanajichubua had wanakuwa pinky! hahaha hata iringa wamama wanaopasua mbao wako hvyo wanajiitaga mama mbao!
Mke wangu tangu namkuta kijijini sigimbi hadi leo sijawahi ona wg kichwani mwake... Nadhani naye hapendi kama mimi... Usifikiri jana, hahahahahaha tushazeekeana.....mhh tuseme wake zenyu hawavai wigs au mnangea tu hapa kujikosha! wig ni mhimu kwa mwanamke morden yyt yule ila inategemea na aina ya wigi! angalia km juzi mke wa mkulu yale manywele me hata nisingekubai kwenda chatlle! yeboyebo imefumuka imesimama balaa! kha! angefumua akatupia wig angependeza!
Mke wangu tangu namkuta kijijini sigimbi hadi leo sijawahi ona wg kichwani mwake... Nadhani naye hapendi kama mimi... Usifikiri jana, hahahahahaha tushazeekeana.....
Ha Ha Ha! Siku moja tunabadili mboga.lakin mkitoka nje mnatongoza hao wavaa mawig!lol!
Ha Ha Ha! Siku moja tunabadili mboga.
We unataka tule Mlenda mwidu na nguluka kila siku? [emoji28] [emoji28]
[emoji3][emoji3]aisee!Shida zako baki nazo, ila kwa raha nitafute