Urembo ulionishinda mimi.....

Mimi mwanamke akiwa na urembo wowote ambao sio natural simtaki kabisa, mke wangu nikishampiga marufuku kuweka artificial ornaments, yaani kitandani atalala peke yake simkumbatii..

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwanamke akiwa na urembo wowote ambao sio natural simtaki kabisa, mke wangu nikishampiga marufuku kuweka artificial ornaments, yaani kitandani atalala peke yake simkumbatii..

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app


atakumbatiwa tu usihofu!
 
Mie napenda mwanamke ajipende na ajirembe lakini uliyoyaandika hapa kuhusu urembo yote siyapendi hata chembe.

 
Bikini kwangu ni kero


mie zaman iilkua my fav,ukinenepa bikini zinaumiza sana! nilichogundua zile zenye mkanda mnene haziumiz km mkanda mwembamba ukiwa mnene fulan na msambwanda ukivaa hizo nene haiumizi! nyembamba tuwaachie mamis!inasitiri ukivaa nguo ya kushika nmwili huwez kwepa!
 
i
😀😀😀
Mi hata sijamuelewa alivosema kutinda nyusi na kuvaa wig, au ID anashare na wifi


i wish huu uzi wangeshare wanawake alone weng wangefunguka maana humu kuna watu wanajitia wajuviiiii pye!
 
vikamba vinaniumiza
 
Haya tueleze urembo gan unaupenda na upi huupendi! wapi [HASHTAG]#natural[/HASHTAG] garla jaman!
Binafsi napenda urembo ila sio wa bandia
Sheria yangu namba 1 ni kujiweka msafi wakati wote kwa kuoga maji yaliyoungwa japo moja ya viungo vya marashi
2.Napenda wanja ila sio ule wa kuchora baada ya kutinda nyusi hapana ule siuwezi na hata kubandika kope siwezi
3. Napenda nywele asilia pia naziongezea na vikorombwezo kiasi ili ziwake, ziiteee
N.B hapa nilipo nna short hair
4.napenda kucha asili za wastani, si unajua tena ukiwa mama kupika,kuosha vyombo kufua ni kazi yako kwaiyo siuwezi huo urembo wa kubandika kucha
 

Vile vi G-whatever sasa....niliwahi kuletwa mtu akajua amenizawadiaaa....nikatinga bwana...kupita barabarani nahisi watu wote wananistukia nimevaa kamba....halafu kikamba chenyewe nikawa naona kama kinasugua maeneo tata...Looh...nikavitupia kabatini na kujisemea gunia hili la ushamba sitalitua kamwe...nitaendelea kulibeba daima....
 
Madame Eve, mimi sijawahi fanya vyote ulivyotaja! Am natural naturally yaani kuna wakati nayoa nywele weee nikianza kusuka inanilazimu kusuka rasta mara chache hadi zikue bado naona kero. Kutinda nyusi na wigi naona kama jini hivi , kucha zakubandika kama zimwii daaahhh @hashtaggg#teamnaturalbeauty#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…