Urembo ulionishinda mimi.....

joto na hizo nywele sasa
wanaume watakua wanapata tabu muda wa kulala
Kila style ya nywele ina muda wake sio kila siku uvae wig ila kwa mwanamke kua nalo ni muhimu sana

Kutokana uzi wako lazima utakua na rangi ya maji ya kunde au mweusi tii.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
hhha unataka kusema weusi au maji ya kunde hatujipend au hatupend makorokoro mkuu??naona unatunyanyapaa live!
 
Siwez kula kama wanavyokula wanaume wa dar,mm nakula vya kutosha ndo naenda kufanya kaz
 
hhha unataka kusema weusi au maji ya kunde hatujipend au hatupend makorokoro mkuu??naona unatunyanyapaa live!
Hapana sijanyanyapaa mtu ila nimetua maelezeo ya mto uzi kujua ni mtu wa namna gani...sole kama nimekwaza mtu.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kama zilivyo dread zako.. just style ..

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kwa mwenye interest na hivo vitu ndo anaona umuhimu, maisha yangu yote nlikua nanyoa kipara 2014 nikakiacha rasmi nikafuga dread huo umuhimu wa wig mi sijawahi uona
 
Hongera....
Yaani uko kama nilivo
Urembo huo ulinishinda kitambo.
 
Hapana sijanyanyapaa mtu ila nimetua maelezeo ya mto uzi kujua ni mtu wa namna gani...sole kama nimekwaza mtu.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

hapana hujanikwaza my dear! huenda' umekisia'au upo wrng yote yanawezqa kuwa majib
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…