Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh huyu sikabeba mzigo jamani huo urembo sasa khaa[emoji15]
Mmmh kweli ni helicopter maan
Helicopter hair style....
![]()
thank uuuutatizo wengine wana kipilipili alafu anataka nywele ikuwe na Iwe na muonekano poa ni impossible
ila kama una nywele poa unaweza tumia mafuta ya maji kama olive hair oil iko poa sana
Mabibo loyola ..kushonea weaving ndefu elfu10, invisible 15 ''kubond weaving fupi 15
Hayo mafuta mazuri ndo uyataje sasa mkuutumia shampoo kuziosha then tafuta mafuta mazuri ya nywele uzipake
YAKUZAHayo mafuta mazuri ndo uyataje sasa mkuu
Ndo yanaitwa hivi? Haya asanteYAKUZA
Kwa Dar, peruvian hair napata wapi?
Mafuta asilia ya nazi.Habari. Naombeni mnijuze mafuta mazuri ya nywele. Yanayokuza. Ambayo pia hayakati nywele. Mimi nywele zangu ni laini. Ila zinakoleaga dawa.. Ukiniwwkea na picha. Ntashukuru
AsanteMafuta asilia ya nazi.
Haya. Miss chaganywele zangu napakaga yeyote hata vaseline na ni ndefu tu.. ngoja niulize majirani kama wanajua