Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Hahahaha wewe nishauri tu inatosha
 
mi zangu ndefu, ngoja waje wenye uzoefu. Hongera kwa kukimbia gharama za saloon kila week.
 
Mkuu vipi umeshapata tips za kutunza nywele zako??
 
Cheki na baba waziri mkuu akupe Siri ya mafanikio
 
Habari. Naombeni mnijuze mafuta mazuri ya nywele. Yanayokuza. Ambayo pia hayakati nywele. Mimi nywele zangu ni laini. Ila zinakoleaga dawa.. Ukiniwwkea na picha. Ntashukuru
 
nywele zangu napakaga yeyote hata vaseline na ni ndefu tu.. ngoja niulize majirani kama wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…