CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
cant wait 2see u jamani, vp hayo mafuta ya olive oil niyamgando au ya maji samahani kwakuuliza nataka nimnunulie na wifi ako! vp yanalainisha kipilipili au.
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni...
But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake fupi na kazisuka mitindo ya enzi na enzi kama hivi.....very beautifull
Hazivutii kwakweli!hao wajaziosha hizo nywele tangu wameanza kusuka................
hebu njoo unioneshe basi....nikupende...
nakusubiri kwa hamu
wanaleta ubitozi wacha wafungwe
Zilivyo nzuri utanitangaza buree!tuone zako
inategemeana na umbo la kichwa, kujifunga kilemba pia inapendeza
..Teh! tehh!! Game iliendelea au ulimpa wig lake ukafunga kikao? Maana lazima atakuwa na mtazamo tofauti kabisa!!!! Kaaazi kweli kweli...
mi na gu upala gwang cjal maneno yao, japo wanaona ulembo mpaka uxuke hayo manywele yao, nadumisha mila za bibi zao, japo n vgumu kuwa km wao, naamin nikiwa na upala nakua zaid yao, lkn aman na upendo vtawale kwao,