Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Wewe zako ni zipi kati ya hizo?
Sema kweli bana, si nywele ndefu, nywele za maiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweli bana, si nywele ndefu, nywele za maiti.
hivi unajua baby fesi yangu?
Wengine tukinyoa tunakuwa kama mbuni, kichwa kidogo mwili jumba.
Wewe zako ni zipi kati ya hizo?
mwanamke inatakiwa abadili mwonekano wa nje mara kwa mara,sio kuzoeleka na twende kilioni au upara kuanzia january hadi december
Kati ya hizo hakuna kabisa, I am natural and full of hair.
Aveta yako inaonyeshwa una nywele ndefu lakini umeziweka kwa mtindo wa shap up unavuti akuliko nywele hizo zingekuficha uso kama wengi wafanyavyo tusingeonea sura ya kupendeza kama aveta yako inavyoonyesha.
duh hii nayo kali sasa,mtu anafanya kujipendezesha mwenyewe na kuonekana smart,kila mtu ana uhuru wa kuchagua vile anavyopenda kuishi......nywele fupi haziwapendezi wote wengine wana vichwa kama naniii
huyo ni Ini Edo sio mimi,nina sura nzito kama mtori best
huyo ni Ini Edo sio mimi,nina sura nzito kama mtori best
Hahaahahaha mbavu zangu mie lolz.............
Mimi huwa naona aibu kuona mabint wameshonea nywele ndefu kama za Spora au Vanessa Mdee, wazungu wanaona tunaabudu uzungu wao wakati baadhi wanapenda nywele zetu.
mhhhhh...jamani wengine vichwa vyetu vibovu ..vina kona balaaaa.sasa nywele zikiwa fupi tunatisha..angalia kipara cha flaviana matata na kipara cha wema sepetu....
Inategemea,ila kubadili muonekano pia ni muhimu!kila siku twende kilioni inahusuuuuuuu??!
![]()
Tunmashuhudia siku zote wanafunzi wanapendeza sana ingawa nao wamelazimishwa na sheria ya shule kutofuga nywele ndefu, lakini the majority wako safi na nywele zao nzuri.
hako katoto kamependezajee......kameonekana kiasili ni kakare wajamenii