Urembo wa Picco na Henna

Urembo wa Picco na Henna

Kumbe picco haimtupi mtu
Picco haina tofauti na tattoo vile, hivyo kila mtu ana haki ya kujichora.

Ila kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuichora.

1. Uitambue rangi ya mwili wako

2. Siyo lazima utumie rangi nyeusi tu kuchorea, hvyo unaweza ukatumia picco(rangi yoyote) ili kiufanya mchoro wako uvutie zaidi
 
upload_2016-10-21_7-53-3.jpeg
upload_2016-10-21_7-50-57.jpeg
 
Binafsi mwanamke ambae anapaka pico na hina ananivutia sana.

Tatizo langu moja tu nina wivu sitaki watu wengine wamuone jinsi alivyopendeza na pia akienda kuchorwa kwa mashoga zake sina imani nao naona kama watamshawishi halafu nitaibiwa.

Kwenye kucha apake hinna sio zile rangirangi..usoni apake wanja sio mapoda poda na rangi rangi za macho
 
Inabidi ujiamini.... Kama anakupenda kweli anawezaje kushawishiwa?? Muache akajirembe
 
Picco haina tofauti na tattoo vile, hivyo kila mtu ana haki ya kujichora.

Ila kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuichora.

1. Uitambue rangi ya mwili wako

2. Siyo lazima utumie rangi nyeusi tu kuchorea, hvyo unaweza ukatumia picco(rangi yoyote) ili kiufanya mchoro wako uvutie zaidi
Uko sawa kabisa
Kama mtu ni mweusi itapendeza akijichora kwa kutumia rangi nyingine japo nna hakika kabisa kuwa hakuna mtu ambae weusi umemkolea kama Picco[emoji85]
 
Picco haina tofauti na tattoo vile, hivyo kila mtu ana haki ya kujichora.

Ila kuna mambo ya kuzingatia kabla ya kuichora.

1. Uitambue rangi ya mwili wako

2. Siyo lazima utumie rangi nyeusi tu kuchorea, hvyo unaweza ukatumia picco(rangi yoyote) ili kiufanya mchoro wako uvutie zaidi
Uje uswahilini keetu upakwe picco nitakulipia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
QUOTE="Jimena, post: 18164084, member: 294409"]Kwanini?[/QUOTE]
nilichora sehemu mmh acha kabisa..
 
Back
Top Bottom