Msafi wa wasafi
Member
- Oct 4, 2016
- 30
- 35
Daah wakubwa wanafaid aiseee
Ndo nasubiri hapa kukua...Nawewe ukue sasa
Hii nimeielewa sanaMaeneo haya yakichorwa mmmh
View attachment 432256
Hata mweusi inaonekana, au mwenzangu ni mweusi usiku wa manane ha ha haMi na weusi huu hata sisumbuki
nilichora nikaponea talaka,
sirudii tena.
wapo na wanapendeza sanaSijawahi kuona weusi wakichora
Ila hao wenye rangi ya mtume mashallah