Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Zinavutia sana kuvaliwa especially za chain, mpaka uzione kuna mechanisms zake.
 
Mhhhh mi sijawahi kuvaa kabisa. Ila sina tatizo na wanaovaa. Natamani kujua kazi yake au ni urembo tu kama urembo mwingine? Cc. Wanawake wa humu mje mtupe experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…