Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Hmm....sina la zaidi hapo.

Wewe hutumii shanga? Hujawahi kukutana nazo? Vipi wenye cheni moja ya gold kiunoni au ya silva hujawahizifanyia kazi? Na kikuku je?

Heheheheheee jibu maswali yote.

Kasie.
 
Story za vijiweni hizo mkubwa. Huku kwetu toka zamani shanga ni kwa ajili ya kutengeneza (kushape) kiubo cha mtoto wa kike. Ndio maana watoto wadogo wa kike huvalishwa shanga wawe na viuno na ndio maana navyo hasa. Kama huamini njoo mwandiga.
Hizo tafsiri nyingine ni jacksonjackob bsi mtu anavyopenda kusema. Wasukuma wanaume wanavaa shanga. Utasemaje hapo
 
Siamini katika mwanamke kuvaa shanga eti adi zionekane akiwa anatembea njiani....umeanza story yako vibaya
 
Habari za kutengeneza kiuno kwa shanga nayo ni imani tu maana ingekuwa ivo isingekuwa unakutana na mdada kiuno na mgongo havionekani bana. Kiuno cha mtu ni vile ameumbwa na mwenyezi Mungu na siyo shanga
 
hatari sana enzi hizo za ujana nlishakutana na mdada ana shanga mzigo hadi kipochi manyoa hakionekani hatari sana wazee tulifaidi sana enzi hizo
 
Kuna wale wanaopoteza netwak wakati wa kwichikwichi,shanga zinasaidia sana Kuku massage,na kuamsha genye
 
 
Umuulize na wanaovaa shanga zinarangi mbalimbali kwa pamoja unakuta red,blue,green, maloon, kahawia,grey sijui wanmanisha Nini??? Daah
Wanamaanisha hawajielewi ukipiga mzigo mimba ikatokea yoyote anatupiwa mzigo[emoji1] [emoji1]
 
wavaa shanga wenyewe hawajali ni rangi gani.

na uongo mwingine eti kapita Dada mmoja tukaona shanga lundo kiunoni ina maana hakuvaa nguo.
 
Kila sehemu na namna yao sisi kikwetu mwanamke hutuliza kichwa na kuiandaa kalenda yake na kisha kuibandika kwenye mlango wa chumba chake na mmewe,inabandikwa kwa ndani wanakuwa wanaiona wao tu wawili hivyo mwanaume unakuwa unaona tu pale kwenye kalenda.Na kazi za shanga kikwetu ni habari tofauti kabisa na ulizoziorodhesha hapo.
 
Wewe hutumii shanga? Hujawahi kukutana nazo? Vipi wenye cheni moja ya gold kiunoni au ya silva hujawahizifanyia kazi? Na kikuku je?

Heheheheheee jibu maswali yote.

Kasie.
Hiyo ya cheni moja ya gold au silver wanavaaga watoto wa kishua....***** inaletaje ashki, na ukute ana kiuno kizuri, wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…