Kwani hiyo picha ya mguu wenye shanga unadhani ni ya nanivaa na wewe tuone then tucomment huwa tunafikiria nini
Shanga ya mguu gani? kushoto au kulia?
Hapo kwenye picha umeona nimvaa mguu gani?Shanga ya mguu gani? kushoto au kulia?
Huu urembo naupenda sana japo napenda iwe dhahabu inavutia zaidi.......