Urembo wangu Unawafanya watu Kutoamini Kwamba nina Virusi vya HIV

Haya mambo ya ukimwi yanakata stimu Sana Kwa kweli

Mimi siwezi kabisa kutumia kondom..Yani najiona km nimevaa mfuko,hakuna Radha yoyote
 
Tusimlaumu sana lakini maana Kenya kupata pisi ya kiwango hicho ni lazima uzunguke masaa 3 ndio unaeza ona kitu ingine
Mombasa wapo wadigo na wagunya wapo kama wapemba flani hivi! Pia baadhi ya maeneo ya Kenya nadhani ni kisii kuna wasomali.
Ila ukija Nairobi kwenda hadi Kisumu ndio unakutana na hao watoto wa naibu rais wa Kenya aliyetumbuliwa Rigathi Gachagua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…