Ureno kupeleka wanajeshi Msumbiji

Ureno kupeleka wanajeshi Msumbiji

Soma KITABU cha secret terrorist cha bill huge ,utaona KWA nini mataifa makubwa yanaanzisha migogoro sehemu zenye RASILIMALI.KWA KWELI SADC WAPO VIZURI HUWA HAWAKURUPUKI TU BALI HUWA WANAANGALIA SYSTEM YOTE NANI YUPO BEHIND THE SCENE.
 
Sawa mkuu
 
The way SADC wanavo delay kuchukua hatua ..........the more powerful wanamgambo wanakuwa
AFRICA SIJUI TUMELOGWA WAPI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ureno itapeleka wanajeshi nchini Msumbiji katika kipindi cha nusu ya mwanzo ya mwezi Aprili kufuatia shambulizi la wanamgambo wa itikadi kali lililofanywa dhidi ya mji wa Palma.

Screen-Shot-2021-03-31-at-10.13.20.png

Wanajeshi hao wa Ureno watakuwa na jukumu la kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Msumbiji kwa mujibu wa ripoti iliyotangazwa na shirika la habari la Lusa ambalo limenukuu chanzo kutoka wizara ya ulinzi.

Shirika hilo la habari la Ureno limesema makubaliano ya pande hizo mbili yanakamilishwa na kikosi maalum cha Ureno kitakuwa na wanajeshi 60 watakaopelekwa Msumbiji.

Mapigano kati ya magaidi wa kundi linalojiita dola la kiislamu na wanajeshi wa Msumbiji yameingia siku ya saba baada ya wapiganaji hao wa itikadi kali kuutwaa mji wa pwani wa kimkakati kaskazini mwa nchi hiyo.Mkurugenzi wa kampuni binafsi ya usalama,DAG, Max Dyck amesema mapigano yaliyoanza Jumatano wiki iliyopita bado yanaendelea.

Kadhalika duru zimearifu kwamba maelfu ya wakaazi wa Palma bado wamekwama katika mji huo wakiwa wamejificha wakihangaika kutafuta njia kuondoka kwenye mji huo unaoshikiliwa na wapiganaji hao.
Tanzania inatafutwa hapo, target sio msumbiji ……… opinion
 
Natamani kuzisikia kauli za kizalendo kutoka kwa Watanzania wazaelendo waliokua wanalalamika watu kuokotwa kwenye viroba TZ.
 
Kwa lugha nyingine sisi bado ni makoloni ya mabeberu
 
Ureno itapeleka wanajeshi nchini Msumbiji katika kipindi cha nusu ya mwanzo ya mwezi Aprili kufuatia shambulizi la wanamgambo wa itikadi kali lililofanywa dhidi ya mji wa Palma.

Screen-Shot-2021-03-31-at-10.13.20.png

Wanajeshi hao wa Ureno watakuwa na jukumu la kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Msumbiji kwa mujibu wa ripoti iliyotangazwa na shirika la habari la Lusa ambalo limenukuu chanzo kutoka wizara ya ulinzi.

Shirika hilo la habari la Ureno limesema makubaliano ya pande hizo mbili yanakamilishwa na kikosi maalum cha Ureno kitakuwa na wanajeshi 60 watakaopelekwa Msumbiji.

Mapigano kati ya magaidi wa kundi linalojiita dola la kiislamu na wanajeshi wa Msumbiji yameingia siku ya saba baada ya wapiganaji hao wa itikadi kali kuutwaa mji wa pwani wa kimkakati kaskazini mwa nchi hiyo.Mkurugenzi wa kampuni binafsi ya usalama,DAG, Max Dyck amesema mapigano yaliyoanza Jumatano wiki iliyopita bado yanaendelea.

Kadhalika duru zimearifu kwamba maelfu ya wakaazi wa Palma bado wamekwama katika mji huo wakiwa wamejificha wakihangaika kutafuta njia kuondoka kwenye mji huo unaoshikiliwa na wapiganaji hao.
Behaviourist hahaha... Majeshi ya SADC na ya AU yapo wapi ??? au ndo....
Wareno wanafuata Gesi....na rasilimali

1. Hilo ni zengwe limetengenezwa !!
2. Raia wa msumbiji wanadai haki zao ktk Jimbo lenye Gesi nyingi...
 
Back
Top Bottom