mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Timu ya Ureno chini ya nahodha Ronaldo itafanikiwa kutetea ubingwa wa mataifa ya Ulaya. Japo waliteleza kwa kujifunga mabao mawili dhidi ya Germany na yakawachanganya hadi kupoteza mechi hiyo, lakini kikosi chao kimekamilika sana.
Dalili kuwa watabeba kikombe itaonekana watakapocheza na kinara anayeshika namba moja katika ranking ya FIFA kwa sasa yaani Belgium. Belgium itakiona cha mtema kuni! Baada ya hapo ni mteremko!! Ronaldo kuibuka na kiatu cha dhahabu.