Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Fifa hawakukosea kuwapa Belgium nafasi ya kwanza kwa ubora wa soka duniani kwa sasa!! Hata hivyo kipindi cha pili belgium walikiona cha moto! Waliteseka sana!Hahahaha ona Sasa mkuu maana ulisema huoni wa kuwazuia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasemaje mkuu..!! Rudia Tena kusoma ulichoandika.
Hivi pale Ufaransa wangefuzu bila ya uwepo wa Kante Ngolo??