mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Siyo ngoro Kante wewe ..Andika Ngolo Said Kante a.k.a mkata umeme..Unamjua mbappe.
unamjua ngoro kante.
Je Paul pogba
Je karim benzema.
Ain't nobody gonna stop us dude.
Hahahaa ufaransa tunabeba kombe [emoji123][emoji123][emoji123]
Siyo ngoro Kante wewe ..Andika Ngolo Said Kante a.k.a mkata umeme..
Halafu jipige kifuani sema Cheleseaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wafaransa wa Majohe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unamjua mbappe.
unamjua ngoro kante.
Je Paul pogba
Je karim benzema.
Ain't nobody gonna stop us dude.
Hahahaa ufaransa tunabeba kombe [emoji123][emoji123][emoji123]
Unasemaje mkuu..!! Rudia Tena kusoma ulichoandika.Ngolo Kante mkata umeme amegeuka kuwa ndio kilaza wa mashindano, mchezaji wa ovyo Zaidi toka mashindano yaanze
Hao wote tayari amekutana nao kwenye kundi lake na hawakuwa tishio kivile! Hungary alithibitisha kuwa hayo ni majina tu! Huyo Mbape niambie kwenye mechi tatu kwenye kundi amefunga magoli mangapi?Unamjua mbappe.
unamjua ngoro kante.
Je Paul pogba
Je karim benzema.
Ain't nobody gonna stop us dude.
Hahahaa ufaransa tunabeba kombe 💪💪💪
Magoli waliyojifunga Ureno ndiyo yaliyowabeba wajerumani na yakawachanganya Ureno. Na hiyo ni bahati mbaya ambayo mara nyingi huwa haijirudii!Hapa ndo ulipoharibu...
Ile mechi Portugal alizidiwa kila kitu,,
Kiufupi, Ureno ni kibonde tu kwa Mjerumani
Renato aliwaonesha kuwa ni mweupe tuSiyo ngoro Kante wewe ..Andika Ngolo Said Kante a.k.a mkata umeme..
Halafu jipige kifuani sema Cheleseaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kamanda tulia hakuna wa kuizuia ufaransaWafaransa wa Majohe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
BonjourKamanda tulia hakuna wa kuizuia ufaransa
Kwani uwanjani anacheza peke yake.Unasemaje mkuu..!! Rudia Tena kusoma ulichoandika.
Hivi pale Ufaransa wangefuzu bila ya uwepo wa Kante Ngolo??
Mtoto mdogo sanaSiyo ngoro Kante wewe ..Andika Ngolo Said Kante a.k.a mkata umeme..
Halafu jipige kifuani sema Cheleseaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Anayeongoza kwa magoli na assist ni nani mpaka Sasa?Sijui kama ni macho yangu au ndo ukweli wenyewe, CR7 ameshafika mwisho sasa, kwa ile pace aliyokuwa nayo ujanani, siwezi kushangaa katika umri wake huu ila naona kama atafifia kwa kasi sana, ni bora apumzike kwa heshima tu, ameshafanya karibu yote kwenye soccer, lililobaki ni wazi haliwezekani, hivyo akubali yeshe tu[emoji4] asisubiri kusajiliwa na Sheffield Utd au kwenda Uchina au US.