Ureno watafanikiwa kutetea Euro Cup, Sioni wa kuwazuia

Ronaldo amethibitisha kuwa umri ni namba tu!! Wanaoitwa vijana hawana ubavu wakupambana naye! Mbape ni kijana sana lakini katika mechi tatu kwenye kundi lake amefunga magoli mangapi? ni 0!! Ronaldo kwenye kundi hilo hilo amefunga 5!! Serie A ameibuka mfungaji bora! Na mwakani atakiwasha kwenye kombe la dunia na hana mpango wa kwenda Marekani! Mwenye mpango wa kwenda Marekani ni Messi!! Tayari Messi yuko kwenye mipango ya kusajiliwa Marekani kwenye timu inayomilikiwa na David Bekam.
 
Siku wanacheza na Ufaransa waliponea bahati tuu.

Sema hivi wewe ni mpenzi wa Ureno hususani CR 7 ndio maana unajifariji.

Ureno wanaweza ishia kwa Ubelgiji
 
Labda wachezaji wa Spain wauliwe
 
Unamjua mbappe.

unamjua ngoro kante.

Je Paul pogba

Je karim benzema.

Ain't nobody gonna stop us dude.

Hahahaa ufaransa tunabeba kombe [emoji123][emoji123][emoji123]
Mlipokutana na Ureno mmetokaje
 
Hahahaha ona Sasa mkuu maana ulisema huoni wa kuwazuia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…