Dah! Fifa hawakukosea kuwapa Belgium nafasi ya kwanza kwa ubora wa soka duniani kwa sasa!! Hata hivyo kipindi cha pili belgium walikiona cha moto! Waliteseka sana!
Nawapongeza sana Belgium. Natamani tukutane nao kwenye kombe la dunia mwakani!
Ngolo Kante ndie kilaza wao uwanjani, au mpira unatizama kibanda umiza mkuu? mana ukitaza mechi kwenye vibanda umiza focus ya mchezo inakua haipo vizuri.