chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo.
Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo kwakuwa Ronaldo ndio Mchezaji wa Taifa hilo aliyefanikiwa zaidi.
Soma Pia: Maajabu ya Cristiano Ronaldo, afikisha magoli 900 michuano rasmi
Ronaldo hadi sasa ndio Mfungaji bora wa muda wote wa Timu ya Taifa ya Ureno akiwa kafunga magoli 131 na amefunga jumla ya magoli 901 katika maisha yake ya soka.