Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hauoni kama hii ni Artificial intelligence made image? Kabla hamjaposti huku muwe mnafatilia kwanza
Active
JamiiCheck
www.google.com
Tuweke Aziz KSawa Nasi Tutaweka Ya SSH
Ni habari ya kweli, ila ni commemorative coin tu, kama kumbukumbu na heshima kwa CR. Kama tulivyowahi kumweka Jellah Mtagwa kwenye stempu zetu miaka hiyo (1980s). Haitumiki kwenye malipo yoyote halali.![]()
Portugal Celebrates Cristiano Ronaldo's Legendary Legacy With Stunning CR7 Euros Coin; See Pic
This commemorative coin celebrates Cristiano Ronaldo's status as one of the greatest football players in history and pays tribute to his remarkable achievements.www.google.com
Ni habari iliyosambaa mitandaoni huna haja ya kuwaita mods boss. Labda usisitize aweke kama tetesi.
Ooh. Asante kwa taarifa mkuuNi habari ya kweli, ila ni commemorative coin tu, kama kumbukumbu na heshima kwa CR. Kama tulivyowahi kuweka Jellah Mtagwa kwenye stempu zetu miaka hiyo (1980s). Haitumiki kwenye malipo yoyote halali.
Huyo anayerukaruka uwanjani?Kwenye viwanja vya afcon kimoja kiitwe Samata
Kwa mchango upi Kwa taifa?Kwenye viwanja vya afcon kimoja kiitwe Samata
Karukeruke na wewe uone kama hata Michenzani Fc wanakusajili.Huyo anayerukaruka uwanjani?
![]()
Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo.
Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo kwakuwa Ronaldo ndio Mchezaji wa Taifa hilo aliyefanikiwa zaidi.
Ronaldo hadi sasa ndio Mfungaji bora wa muda wote wa Timu ya Taifa ya Ureno akiwa kafunga magoli 131 na amefunga jumla ya magoli 901 katika maisha yake ya soka.
Sawa Nasi Tutaweka Ya SSH
Bora ata msuvaKwenye viwanja vya afcon kimoja kiitwe Samata
Huyo anayerukaruka uwanjani?
Sio lazima kila mtu acheze mpira mkuu, huo ujinga niliacha nikiwa kidato cha tatu. Ili nifocus kwenye masomo yangu.Karukeruke na wewe uone kama hata Michenzani Fc wanakusajili.