Ureno yatoa sarafu yenye picha ya sura ya Cristiano Ronaldo

chama konokono

Senior Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
103
Reaction score
226


Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo.

Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo kwakuwa Ronaldo ndio Mchezaji wa Taifa hilo aliyefanikiwa zaidi.

Soma Pia: Maajabu ya Cristiano Ronaldo, afikisha magoli 900 michuano rasmi

Ronaldo hadi sasa ndio Mfungaji bora wa muda wote wa Timu ya Taifa ya Ureno akiwa kafunga magoli 131 na amefunga jumla ya magoli 901 katika maisha yake ya soka.
 
Kwamba Ureno wamejitoa kutumia Euro? Au wenyewe walikataa kujiunga kutumia Euro kama walivyofanya UK? Au una maanisha Euro ni sarafu ya Portugal na ndiyo wanaamua iwe na alama zipi?
 
🐐
 
That's great
 
So good 👍
 
AI Zitawavuruga sana miaka hii ,
 
JamiiCheck
 
Wewe hauoni kama hii ni Artificial intelligence made image? Kabla hamjaposti huku muwe mnafatilia kwanza
Active
JamiiCheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…