blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Wakuu habari zenu
Leo kuna rafiki yangu kanifata akaniambia anakumbwa na tatizo la kukosa msimamo leo akiamua hili kesho anaamua jambo anaona linafaa kesho anabadili na hawezi kusimama peke yake kimawazo akiamua jambo akaona kuwa zuri watu wanaomzunguka wakakosoa anachanganyikiwa na kubadili haraka anasema hana rafiki wa kumsaidia mawazo kila siku ana mawazo na anashindwa kufanya mambo yake kiufanisi kama zamani jamaa ni kijana anayechipukia.msaada wa kisaikolojia tumsaidiaje huyu mtu mtaalamu atoe madini hapa na atutafute hapa pm