J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Jul 1, 2013 #1 Jamani nimeona mtu ana ndevu ndefuuu, amejifunga shuka kichwani, kavaa suruali fupi, anaendesha baiskeli halafu kafunga kitu kama gogo nyuma ya baiskeli anaelekea airport! Kazi kwenu.
Jamani nimeona mtu ana ndevu ndefuuu, amejifunga shuka kichwani, kavaa suruali fupi, anaendesha baiskeli halafu kafunga kitu kama gogo nyuma ya baiskeli anaelekea airport! Kazi kwenu.
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,102 Jul 1, 2013 #2 Weweee!!