Urgent: Natafuta mchumba

Urgent: Natafuta mchumba

NINAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MWENGE ILA NINAJENGA NYUMBA YANGU, KIMARA TEMBONI.
.[/B]

we utanifaa maana tutakuwa neighbours ukinikorofisha tu nakimbia nyumbani kusema.
 
Mpaka mtu anaenda online kutafuta mchumba either hana ulimi kabisa/bubu, au ni mhuni sana mtaa mzima infact jiji li/ushamchoka. Au ni mgonjwa.
 
mwenye 'kadigirii kamoja' hatakiwi, jee wale waitwao 'dr'!
 
THIS IS NOT A JOKE:

engagement%20ring%20hands.jpg

NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUMFANYA MCHUMBA NA HATIMAYE MKE:

SIFA ZAKE:

i. UMRI KUANZIA MIAKA 18 MPAKA 32

ii. ELIMU DARASA LA SABA HADI FORM SIX (ASIWE NA DEGREE)

iii. AWE TAYARI KWENDA KUPIMA

iv. UMBO LOLOTE ILI MRADI AWE MAMA MZURI WA WATOTO.

v. ASIWE MHAYA, MHEHE, MRANGI, MNYATURU WALA MNYAKYUSA.

vi. ASIWE SHABIKI WALA MWANACHAMA WA CCM WALA CUF (LABDA ABADILISHE)

MIMI:

NINA ELIMU YA SHAHADA YA UZAMILI (MBA).

NINAISHI KWENYE NYUMBA YA KUPANGA MWENGE ILA NINAJENGA NYUMBA YANGU, KIMARA TEMBONI.

ALIYE TAYARI ANI-PM NITAMPATIA NAMBA YA SIMU

INTERVIEW INAWEZA HUSISHA PRACTICAL.

rasta.gif
no_drugs.jpg
 
du,sijui itakuaje,hebu naomba jibu,nipo mwaka wa pili nachukua ka degree kangu ka computing,sasa niache ili niwe mchumba?
 
Mpaka mtu anaenda online kutafuta mchumba either hana ulimi kabisa/bubu, au ni mhuni sana mtaa mzima infact jiji li/ushamchoka. Au ni mgonjwa.

sio hivyo NJ, Watu wapo bize na maisha. Kutoka asbh kurudi usiku. Vibinti vya mtaani utavionea wapi! Huendi club, msikitini wala church. Sehemu ambayo unaweza kumeet na girls/boys ni iternet. Ndio unaona umalizie hapo.
Endeleeni wala msikate tamaa.
 
du,sijui itakuaje,hebu naomba jibu,nipo mwaka wa pili nachukua ka degree kangu ka computing,sasa niache ili niwe mchumba?

usiache. Huyo mchuchu mwenyewe ana master halaf hataki hata mwenye kadrii...mmh ana ajenda gani.
 
Back
Top Bottom