Urgent: Natafuta notes za zamani

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Wadau
Natafuta notes za zamani za Tsh 200 zilizokuwa na picha ya Nyerere kwa mbele na nyuma yake jamaa wanavua samaki kitu kama hicho!.. nitanunua kwa bei nzuri ya maelewano!!!!
 
Wadau
Natafuta notes za zamani za Tsh 200 zilizokuwa na picha ya Nyerere kwa mbele na nyuma yake jamaa wanavua samaki kitu kama hicho!.. nitanunua kwa bei nzuri ya maelewano!!!!

Ninazo unanunua kwa sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…