Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Wadau
Natafuta notes za zamani za Tsh 200 zilizokuwa na picha ya Nyerere kwa mbele na nyuma yake jamaa wanavua samaki kitu kama hicho!.. nitanunua kwa bei nzuri ya maelewano!!!!