Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
mpo jani heshima mbele msaada
Try to walk a distance further google it. And come back with the solution wich worked 4 u.
am also doint the same
Try to walk a distance further google it. And come back with the solution wich worked 4 u.
am also doint the same
ok after just five min I got this article.
How to reset the Windows administrator password - Windows 7 Vista XP - 4sysops
kuna tool moja niliwai kuitumia ila sikumbuki kwenye XP zamani. so tafuta one of hizo tool unaweza kuzidowload piratebay.org
Good luck
Jamani wana JF Heshima mbele Haka kajitu cha password kanawachengua sana maana majibu finyu? Please mwenye kujua jamani aniambie:A S 100:
Offline NT Password & Registry Editor – Available as bootdisk or bootable CD, Offline NT Password and Registry Editor works to change or reset password of any users on Windows NT 3.51, NT 4, Windows 2000, Windows XP, Windows Server 2003, Vindows Vista 32 and 64 bit. It can also detect and offer to unlock locked or disabled user accounts.
Download Links:
http://home.eunet.no/~pnordahl/ntpasswd/cd080802.zip (~3MB) – Bootable CD image and can be used to make bootable USB drive.
bd080526.zip (~1.1MB) – Bootdisk image for floppy disk
drivers1-080526.zip (~310K) – Disk drivers (mostly PATA/SATA).
drivers2-080526.zip – Disk drivers (mostly SCSI).
Jamani wana JF Heshima mbele Haka kajitu cha password kanawachengua sana maana majibu finyu? Please mwenye kujua jamani aniambie:A S 100:
kuna tool moja niliwa kuitumia miaka miwili ya nyuma kurecover passowrd ya windows XP. nadhani ilikuwa ghosy sina uhakika. Ndo maana nikamwambia asome ile link niliyompa kuna suggestion za tools kibao sio lazima iwe hiyo hiyo niliyotumia mimi. Fuata vizui mtiririko wa hii thead utagundua.Uliitumia zamani ila hukumbuki kwenye Xp, halafu atafute, itawezekana kweli?
Mimi Nipo Italy Mtazamaji. Najaribu inagoma au unaweza kwenda ndaNI KWA DRIVE c UKA DELETE??
Jamani vipi au TZ sasa Uchaguzi Unabana ndo maana munakuwa kimya??? OK wakuu nisiwachoshe sanaaa nimepata Window Vista CD sasa nifanyaje hii ni ingine kabisa sio new ni copy na Hiii yangu nimezicopy Key Zake za mwazo za window Vista iliyokuja nayo? Je nikiinstall hii copy lakini nika activate na key zake Original inakuwaje?
Jamani kimya????????????:glasses-nerdy: