Urgent please i lost adm password for log in window vista computer ni compaq

Urgent please i lost adm password for log in window vista computer ni compaq

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
HESHIMA MBELE
I LOST ADMINISTRATOR PASSWORD FOR LOGIN IN WINDOW VISTA COMPUTER AINA YA COMPAQ LAKINI USE INGINE INAFUNGUKA KWANI SIKUWEKA PASSWORD.
THE PAST
I WAS OPENED TWO ACCOUNT ADMINISTRATOR AND OTHER USER SASA NIKIINGIA ADM HAIWEZEKANI MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA.


WASALAAAM:eek2:
MWANA JF
 
Jamani wana JF Heshima mbele Haka kajitu cha password kanawachengua sana maana majibu finyu? Please mwenye kujua jamani aniambie:A S 100:
 
Jamani wana JF Heshima mbele Haka kajitu cha password kanawachengua sana maana majibu finyu? Please mwenye kujua jamani aniambie:A S 100:

Pole sana.
Majuzi tu nilikumbana na sekeseke kama hilo,
ikanibidi 'kuibomoa' Laptop yote na kuanza upya.
Namshukuru Mungu files nyingi zilikuwa saved.

Umejaribu Kubonyeza On/Off caps na Num locks?
VISTA security features zake hazitaki maskhara.

Pole sana.
 
OP,
Fata hiyo link aliyoweka Mtazamaji, itakusaidia.

Alternatively, jaribu haya:

Offline NT Password & Registry Editor – Available as bootdisk or bootable CD, Offline NT Password and Registry Editor works to change or reset password of any users on Windows NT 3.51, NT 4, Windows 2000, Windows XP, Windows Server 2003, Vindows Vista 32 and 64 bit. It can also detect and offer to unlock locked or disabled user accounts.

Download Links:

http://home.eunet.no/~pnordahl/ntpasswd/cd080802.zip (~3MB) – Bootable CD image and can be used to make bootable USB drive.
bd080526.zip (~1.1MB) – Bootdisk image for floppy disk
drivers1-080526.zip (~310K) – Disk drivers (mostly PATA/SATA).
drivers2-080526.zip – Disk drivers (mostly SCSI).

Kutoka hapa: Forgot Windows Administrator Password? Ways to Recover and Reset Password in Vista/XP/2003/2K/NT » My Digital Life

Good luck!
 
Jamani wana JF Heshima mbele Haka kajitu cha password kanawachengua sana maana majibu finyu? Please mwenye kujua jamani aniambie:A S 100:

HIivi umesoma vziuri hiyo link niliyokuweka na kujaribu hizo solution umeshindwa. Kuna link nyingine kakuwekea Steve D je nayo umeshindwa. Unatakaupikiwe chakula na kutafuna utafuniwe kila kitu. Kama una elfu 10 ni pm nikuambie uilete wapi.
Uliitumia zamani ila hukumbuki kwenye Xp, halafu atafute, itawezekana kweli?
kuna tool moja niliwa kuitumia miaka miwili ya nyuma kurecover passowrd ya windows XP. nadhani ilikuwa ghosy sina uhakika. Ndo maana nikamwambia asome ile link niliyompa kuna suggestion za tools kibao sio lazima iwe hiyo hiyo niliyotumia mimi. Fuata vizui mtiririko wa hii thead utagundua.
 
Mimi Nipo Italy Mtazamaji. Najaribu inagoma au unaweza kwenda ndaNI KWA DRIVE c UKA DELETE??
 
Mimi Nipo Italy Mtazamaji. Najaribu inagoma au unaweza kwenda ndaNI KWA DRIVE c UKA DELETE??

Nadhani mkuu umepaniki .unaweza kwenda ndani kwa drive c ukadelete nini. Kumbuka tuko remote. ukieleza kitu jaribu kueleza ukijua tuko mbali.
Link niliyokutumia ina solution kumi(10) tofauti. Ya kumi ni ya kuformat. Kwa sababu hujatoa info za kutosha wewe kwako nahakika solution ya nne(4) na sita (6) zinaweza kufanya kazi.
Je umezisoma . Je kuna kitu amabcho hukuelewa kwenye maelekezo ya wataalam? Unasema unajaribu inagoma unajaribu nini elezea hatua kwa hatua umefanya nini kikagoma kulingana na ushauri.

Katika link niliyokutumia moja ya suggestion ni hii STICKY KEYS
The Sticky Keys trick to restore a forgotten administrator password is reliable, easy to carry out, and does not require third-party software. All you have to do is boot up from a Windows 7 or Windows Vista setup DVD, launch the Windows Recovery Environment (RE), and then replace the sethc.exe file with cmd.exe. You can also use this method for Windows XP, but you have to use a Vista or Windows 7 DVD
Sasa je Unayo CD/DVD ya Window VISTA? Kama unayo soma hayo maelekezo uyafuate ukiwa umetulia bila kupaniki. Kama huna CD/DVD ya Windows VISTA Kuna site nimekupa kule unaweza kuipata CD ya window VISTA piratebay.org.
Kama Unayo CD and ure not patient kufuata maelekezo basi FORMAT hiyo mashine uanze moja. Maana naona nikikuuliza maswali mengine naweza kukuchanganya. JE hiyo window Vista iliyopo ni ya OEM( ilikuja installed na hiyo laptop) au Je unayo RECOVERY CD ya hiyo mashine? Tena hiyo mashine ni brand na Model gani( kujua drivers ukihitaji kuformat). Muhimu kabla ya kuformat hakikisha una driver zake za network ?
Good luck
 
Hii Computer ni Comapaq ilikuja na WIndow Vista Basic ndio lebo inavyoonyesha, Namimi ninayo Window Vista nilicopy kwa mtu Window Vista Ultimate, Sasa najaribu kufatilia hizili link ila kuna JAmaa amesema atanipa window Home Basic sasa niambia hapo nimeshakuambia napia inafunguka na naendelea kuitumia katika user mwingine ila Administrator tu ndo haifai.Pia niingie ndani zaidi wajua wakati nimemaliza ku Create huyu user ndo hapo password ikabadilika sasa sijui ilibadilikaje? kwani nilivyo maliza ku create user nika log off then log in kuingia na administrator tu ikasema sio password sasa mpaka sasa nipo njia panda(chonjo) sijui niende wapi ok Mkuu MTAZAMAJI najaribu kuzifanyia kazi hizi data zako nitakupa feedback.Asante kwa wailslaaam Ramadan Kareem :confused2:
 
Jamani vipi au TZ sasa Uchaguzi Unabana ndo maana munakuwa kimya??? OK wakuu nisiwachoshe sanaaa nimepata Window Vista CD sasa nifanyaje hii ni ingine kabisa sio new ni copy na Hiii yangu nimezicopy Key Zake za mwazo za window Vista iliyokuja nayo? Je nikiinstall hii copy lakini nika activate na key zake Original inakuwaje?
 
Jamani vipi au TZ sasa Uchaguzi Unabana ndo maana munakuwa kimya??? OK wakuu nisiwachoshe sanaaa nimepata Window Vista CD sasa nifanyaje hii ni ingine kabisa sio new ni copy na Hiii yangu nimezicopy Key Zake za mwazo za window Vista iliyokuja nayo? Je nikiinstall hii copy lakini nika activate na key zake Original inakuwaje?

Jamani kimya????????????:glasses-nerdy:

Mkuu, ni kweli uchaguzi unabana... ukizingatia ni jambo linalofanyika kila baada ya miaka 5 hapa Tz, sijui umekuwa na laptop ngapi ndani ya kipindi hiki?! Btw, ulisema ungeweka feeback ya pale utakapofikia kulingana na mbinu kibao zilizotolewa kwenye links hapo juu... umefikia wapi na kukwama wapi ukiachilia hiyo ya kupata CD?!

Kwa swali lako kwenye wekundu, tusiende mbali sana; mimi nadhani itakuwa vyema tu ukampelekea mtu hiyo computer akusaidie kuirekebisha.
Ahsante.
 
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA STEVE D nataka kuifanya mwenyeweee :confused2:
 
...Una dis assemble Hard Drive toka kwenye computer yako. Copy files zote kwenye external hard drive.
Kisha i format hiyo computer yako upya.
Re-install drives zako, pamoja na files zako.

Steve Dii unasemaje ushauri huu?
msiniulize maswali ya nyongeza, nimeusikia ushauri huu 'kijiweni!'
 
Reset /crack/hack/recovery windows password/admin password/ vista password with windows password unlocker

1. Log onto a computer that can link to the Internet. Download Windows Password Unlocker 4.0 from and decompress it on that PC. Note that: there is a .ISO file. Burn the .ISO file to a CD.
2.Get out the newly created CD and insert it to the locked computer.
3.Re-boot the locked computer and then follow the process of instructions. Just after a few steps, the old password will be removed.
4.Set new password:
Step 1: Open the "Control Panel
Step 2: Click the "User Account
Step 3: Select the account you wanna set a new password.
Step 4: Click "Changing Account " and "Set Up Password", then fill out the form as listed. Click "Create Password".

Source: Windows Password Unlocker - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
 
Back
Top Bottom