Urgent please! Mechanical Engineers of Diploma Level URGENTLY Need.

Urgent please! Mechanical Engineers of Diploma Level URGENTLY Need.

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,636
Wakuu bosi kaniita na anahitaji CV za garduates wa Mechanical Engineering Wanaograduate mwaka huu au waliograduate mwaka jana kwa level ya Diploma na zinahitajika kesho asubuhi so If there is any one here tuma only CV kwenda mussaer@gmail.com only today.

ANGALIZO: This is an International company so wnahitaji vyuo vya serikali zaidi.

Wakuu ma MODS na Invisible naomba mnisaidie kuitangaza hii humu kwa sababu kesho asubuhi na submitt na hakuna limitation ya applicants wanaohitajika kwa sababu operations ni kubwa sana.
Thanks
Mu-sir
 
Last edited by a moderator:
kaka we ni m2 wa aina yake Mungu akubariki, mi cna sifa hizo but wakihitaji planners nishtue. ebwana wadau changamkieni dili hiyo. jifunzeni moyo huo.
 
Wakihitaji Civil Engineer tuambie pia man....thanx
 
kaka we ni m2 wa aina yake Mungu akubariki, mi cna sifa hizo but wakihitaji planners nishtue. ebwana wadau changamkieni dili hiyo. jifunzeni moyo huo.

Amina mkuu ikitokea nitawajulisheni tu.
 
Mkuu ni pure Mechanical Engineers au hata Chemical Engineers?
 
Mimi niligraduate 20 years ago...I may fit the above post...inakuwaje mkuu?
 
Wana JF nashukuru kwa wale walio apply na nimecompile kila kitu natuma sasa Naomba tangazo hili liwe closed as from this time. Naomba mjue kitu kimoja kwamba mimi sio HR na wala HR hahusiki na kuajiri watu katika kampuni yetu bali watu wa recruitment ndio wanahusika. So mimi ni mwajiriwa wa kawaida tu lakini kwakuwa ni mwenyeji hapa TZ nikaambiwa hivyo.
Good luck for those who applied.

with regards.

Mu-sir
 
Back
Top Bottom