Ninauza Toyota rush, modeli ya mwaka 2007, rangi nyeusi metalic (presidential colour), imetembea mileage 67000kms tu mpaka sasa. imeingia nchini mwezi wa saba mwaka huu. iko kwenye hali nzuri sana. kwa mwenye kuhitaji anichec [email protected]
tulisema 26m negotiable pia