Urgent: Tubadilishane magari ( mimi nina nissan patrol)

Urgent: Tubadilishane magari ( mimi nina nissan patrol)

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Nina gari Nissan Patrol ninahitaji kubadilishana na mtu mwenye gari ndogo,Nissan hii iko kwenye hali nzuri, kama una gari ndogo iliyo nzuri na iko kweye hali nzuri basi tunaweza badilishana.

Nitafute kwa 0763969066 kwa maongezi zaidi.
 
what a barter trade!!!!
 
Gari hiyo ni msiba, alianza kuliuza milion 9 akashuka,hakuna aliyejitokeza,sasa anataka abadilishane na mtu mwenye gari nzima na yeye ampe huo msala wa kushinda gereji kila sk. Karibuni wapenda vya bei chee. Kama ni nzima iweje aiuze tena kwa bei rahisi?
 
reason pekee ya mimi kutaka kuexchange au kuiuza hii gari ni sababu ya gharama za kuihudumia hasa mafuta so if mnadhani ni scam waulizeni ambao wameshakuja kuiona na sio mnaongea tu kama watu msiokuwa na akili eti tena mnaitwa (SENIOR EXPERT MEMBER). Tafuteni kwanza ukweli wa jambo sio kuongea pumba tu. SEM my a**
 
Wameliona na wakaliacha,? I am smelling sth fishy...
 
bout the way silazimishi mtu if yo not interested piga kimya...........................mmoja kaja nmemwambia tutahusisha wakili kakimbia......sasa hapo nani mwizi
 
Mkuu ukitaka kufanya biashara usiwe na lugha kali. Utakutana na wateja wa aina mbalimbali. Umetangaza biashara subiri wenye noa ya kukupokea huo msala watakupokea. Usianze malumbano wakati wewe ndio muhitaji
 
Gari ndogo gani unataka ww? Watu wanakupa magari hitaki au unataka benz wakat gar lako lenyewe ni la mwaka 1967! Chukua ofa ya gari lolote
 
Back
Top Bottom