Urgent! Urgent! Radio call inahitajika

Urgent! Urgent! Radio call inahitajika

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
3,068
Reaction score
2,299
Salam wadau.
Wapi naweza pata radio call yenye uwezo
wa kwenda masafa marefu?

Au mwenye kujua gharama zake pia
nitashukuru.

Mimi nipo dsm
 
Unataka radio ngapi??zipom aina ya motorolla,bei sh laki sita kila moja
Salam wadau.
Wapi naweza pata radio call yenye uwezo
wa kwenda masafa marefu?

Au mwenye kujua gharama zake pia
nitashukuru.

Mimi nipo dsm
 
Salam wadau.
Wapi naweza pata radio call yenye uwezo
wa kwenda masafa marefu?

Au mwenye kujua gharama zake pia
nitashukuru.

Mimi nipo dsm

Sijui kwa nini, mimi ni muumini sana wa redio za Kenwood.Kama upo Dar cheki na watu wanaojiita Radio Wave hata kama unataka ya masafa marefu mpaka Mombasa utapata
 
Back
Top Bottom