Julian Bauer
Member
- Oct 3, 2011
- 8
- 2
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
Afu kwa nini aseme 'Urgent'? Mi nilivyoona heading nikafungua chap, chap...lolKujoin jana na leo wataka mupenzi,kazi unayo.....
Afu kwa nini aseme 'Urgent'? Mi nilivyoona heading nikafungua chap, chap...lol
utapeli wa mapenzi!!!!
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?sijasema natafuta mpenzi! nimesema rafiki! am seriuous jamani! read the post carefully!!!
sijasema natafuta mpenzi! nimesema rafiki! am seriuous jamani! read the post carefully!!![/QUOTE]
we have read it carefully and what you are reading is our duly considered response to your request .
sijasema natafuta mpenzi! nimesema rafiki!
Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
nitajijuaje km najua au SIJUI MAMBO?
tafadhali nisaidie SI UNIT ili nijipimie nijue km NAJUA MAMBO AU DEADLY KILAZA
yours faithfull
kadala.