Emeka Onono
Senior Member
- Jul 3, 2011
- 114
- 15
Aaah! Huu uzee nao! Nishakosa rafiki tena sababu ya umri!
mmmmh! Uzee tena? Kumbuka post yako uliyosema nawe utahitaj kama ma jery muda ukifika,sa hiz unasema uzee tena? Mwongo lazima awe na kumbukumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah! Huu uzee nao! Nishakosa rafiki tena sababu ya umri!
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?
mmmmh! Uzee tena? Kumbuka post yako uliyosema nawe utahitaj kama ma jery muda ukifika,sa hiz unasema uzee tena? Mwongo lazima awe na kumbukumbu
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
Yaani sifa zote hizo ninazo ila hiyo moja tu ndio nimekosa, jamani huwezi kureview huo umri ukaweka hadi forty forty hivi..........
usinibishie we mtoto! ntakuwasha vibao vya masabulini sasa hiyi!!!sijasema natafuta mpenzi! nimesema rafiki!
usinibishie we mtoto! ntakuwasha vibao vya masabulini sasa hivii!!!sijasema natafuta mpenzi! nimesema rafiki!
cna kigezo iko inakuaje sasa shusha umri chini mwe!Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com
usinibishie we mtoto! Ntakuwasha vibao vya masabulini sasa hiyi!!!
Hahaha! magwanda utawajua tu lol!Tuwekee na upande wa pili pia. Namaanisha, umri wako, mrefu/mfupi, mweupe/ mweusi, elimu yako, dini yako ukiweza na kabila pia..je wewe ni mwanafunzi? Umeoa? Una mchumba?.. Maoni yako kuhusu uchaguzi wa Igunga ni yepi?
Rose,malavidavi na igunga wapi na wapi,mwenzio anatafuta pa kugonga weekend we unaleta balaa za helikopta?
niwashe!
huna lolote wewe,ukware tu unakusumbua......technique hii ishakuwa ya zamani!........alafu inaonyesha mwoga sana wa mademu wewe,........jiamini mwanaume!
ehh unapenda kuwashwa ehh?
Mshawashana?..tangu jana?bado?
hahaha! Magwanda utawajua tu lol!
Huyu njemba vigezo vyote hivyo kubadilishana mawazo akitaka mpenzi au mke si itakuwa page 2-3 ?
Lol....ndo hivyo uporoto, tunaanza kubadilishana mawazo....Hahaha! magwanda utawajua tu lol!
Huyu njemba vigezo vyote hivyo KUBADILISHANA MAWAZO akitaka mpenzi au mke si itakuwa page 2-3 ?