Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Hujui ulichoandika....UTI haiambukizi kwa njia ya ngono au kujamiiana.

Wanawake wanaweza kapata bacteria au wadudu walioko ktk eneo la haja kubwa kwenda eneo la tundu la mkojo wakati wa kunawa kama mwanamke akinawa kutoka nyuma kwenda mbele.Badala ya kunawa kutoka mbele kwenda nyuma.
 
Tramadoool, Yan Bacteria Wanaweza Hama Toka Mfumo Wa Choo Kwenda Mfumo Wa Urine Lkn Ni Marufuku Kutoka Urine Kwenda Vigina. Em Cjui, Labda Unakuaga Ugonjwa Mwingine2 Na Madaktar Hawausemi Wana Cngizia U.T.I. Me Kuna Koboko Moja Liliniambukiza Hyo U.T.I Nkawa Napata Night Fever Haikutoka Kwa Vdonge Had Nlipochoma Cndano. Toka Hapo Nilijuta Madem Wachaf Wachaf
 
Mkuu mangelengele ugonjwa utaitwa UTI kama upo kwenye mfumo wa mkojo basi..kwa mfano bakteria wale wale wanaosababisha UTI wanapokuwa kwenye damu hatuendelei kuwaita UTI..kwa hiyo kama utawakuta kwenye V hatuendelei kuwaita UTI.

Lakini pia si kweli kwamba sindano inatibu kuliko dawa za vidonge..kinachotufanya tupone ni pale inapotumika dawa sahihi kwa ajili ya ugonjwa fulani,dozi sahihi na kwa kufuata kwa usahihi masharti yanayoendana na dawa hiyo.
 
Sorry are u a medical practioner?
 
U Closed the Thread Chief !!! [emoji120]
 

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji111]️
 
Kwahiyo uti ni ugonjwa wa zinaa?
Kuna watu wamejitokeza mjini hapo wanaiangamiza jamii yetu kwa biashara ya kuuza dawa za binadamu.

Sasa hivi kila mgonjwa utasikia anaumwa UTI eti na partner wake atibiwe vitu vya ajabu sana.

Kweli Tanzania shamba la bibi na wajinga ndiyo waliwao.

UTI siyo ugonjwa wa zinaa (STI) na hauambulizwi kwa ngono
 
Bora umekuja mkuu kunisaidia kuwa elimisha hawa vijana. sijui huko wanapo kwenda kusoma wanakwenda kusomea ujinga???; sielewi.
 
Mkuu toa basi somo kidogo kuhusu matumizi ya hiyo juice na utengenezaji wake,,kama huto jali

Mkuu ni nanasi hili hili la kwaida likamue kama una blender kisha kunywa juisi hiyo mara nyingi uwezavyo.

Ukishindwa kabisa kula nanasi kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…