Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Mkuu pole kwa maradhi yako ya UTI Sugu isiyo sikia dawa za Hospitali nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.
 
No hapana kichocho ni ugonjwa mwingine kabisa

Yes swali zuri,
Kichocho kwa kitaalamu “schistosomiasis” yenyewe husababishwa na mdudu aitwae schistosoma haematobium ambae ni tofauti kabisa na vijidudu vinavyosababisha UTI kama nilivyovitaja hapo juu
 
Kwa wenye changamoto za u.t.i jaribuni dawa hizo...dozi kama mtakavyo elekezwa na Dr... Ila vizuri zaidi kutumia ndani ya Siku 14 mpaka mwenzi kama tatizo ni kubwa zaidi...
 

Ambaye anaitaj tiba ya u.t.i aje inbox atasaidiwa
 
Niseme tu kwamba kwa Tanzania 90% ya watu wanaopimwa na kuambiwa wana UTI, hawana maradhi hayo.

Ni vizuri vipimo vya UTI vifanywe kwa ufasaha ili kuepusha watu kutumia dawa ambazo hazikuhitajika

Vituo vingi vya afya vinapima UTI kwa kuangalia wingi wa epithelia cells katika mkojo. Hii si sahihi.

Njia ya kuotesha mkojo ndiyo sahihi na hasa ikifanywa kwa umakini kuanzia kusafisha (disinfect) kiungo chenyewe, aina ya mkojo-first, mid, or last stream, chupa yenyewe iwe sterilized, ujuzi wa mtaalamu wa maabara, vitendea kazi na vitendanishi.

Mgonjwa apimwe kwa siku tatu mfulilizo

Hivyo uoteshaji utaonyesha kama kuna bacteria au fungi kwenye mkojo

Antibiogram itaonyesha ni contaminant au pathogen
Kama ni pathogen itaonyesha dawa gani inafaa kuitibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…